Makala ya Chimbuko la Tamaduni, ni makala yanayoangazia mila na desturi mablimbali.Â
Katika awamu 12 ambazo utasikiliza, utapata kufahamu na kuelewa zaidi kuihusu jamii ya Maa na mambo mbalimbali yaliyo katika tamaduni na desturi za jamii hii.Â
Jamii ya Maa ni mojawapo ya jamii ambazo bado zinaendelea kutekeleza na kudumisha mila yao, hata ingawa baadhi ya mambo ambayo yamekua yakifanyika yamepitia mabadiliko.