Jamii ya Abagusii ni mojawapo ya jamii zenye idadi kubwa sana ya watu katika taifa la Kenya. Katika ramani ya taifa la Kenya, jamii ya Abagusii inapatikana kwa kiwango kikubwa katika maeneo ya Kaskazini magharibi na huunganishwa na ukanda wa Nyanza mara kwa mara. Wanajamii wa Abagusii kama tu jamii nyingi humu nchini, wanaamini kwamba chimbuko lao lilikuwa nje ya taifa la Kenya, kabla yao kuwasili humu nchini miaka ya kale na kisha kujinyakulia mahala pao wanapoishi.
Sikiliza makala haya upate kujifunza mengi zaidi kuihusu Jamii hii
D